

"WAMOJA"
(Swahili Version)
WORDS and MUSIC by
PAT BOONE, FRANK J. MYERS, JIMMY NICHOLS
Arr. by JIMMY NICHOLS, FRANK J. MYERS
TRANSLATION by SEBASTIAN SILAS, DANI MUGISHA
VOCAL Arr. by
EMANUEL LOISHEYE (TANZANIA)
DANI MUGISHA (NASHVILLE)
SWAHILI CHANT
Uye aaaaaaa
Uye aaaaaaa
V1
ONE, I AM ONE
Mmoja, mimi ni mmoja
LIKE NO OTHER HUMAN BEING
Kama hakuna mwanadamu mwingine
I AM ONE
Mimi ni mmoja
IN MY LIFE THERE IS MEANING
Maisha yangu yana maana
THERE IS WORTH, THERE IS A PURPOSE
Kuna thamani, kuna kusudi
LIKE NO OTHER ON THIS PLANET
Kama hakuna mwingine duniani
I AM ONE
Mimi ni mmoja.
V2
ONE, WE ARE ONE
Mmoja, sisi ni wamoja
WHEN WE PUT OUR MINDS TOGETHER
Tunapoweka akili zetu pamoja
WE ARE ONE
Sisi ni wamoja
IN OUR ONENESS THERE IS PURPOSE
Katika umoja wetu kuna kusudi
THERE IS HONOR, THERE IS COURAGE
Kuna heshima, kuna ujasiri
WHEN GOOD PEOPLE COME TOGETHER
Watu wema wanapokutana
WE ARE ONE
Sisi ni wamoja
CHORUS
WE ARE ONE (WE ARE ONE)
Sisi ni wamoja (sisi ni wamoja)
ALL SISTERS AND BROTHERS
Dada na kaka wote
WE ARE ONE (WE ARE ONE)
Sisi ni wamoja (sisi ni wamoja)
LIFTING UP ONE ANOTHER
Tukinuana sisi kwa sisi
WHEN OUR BACK’S AGAINST THE WALL
Wakati tumebanwa sana
WE ALWAYS ANSWER THE CALL
Daima tunaitikia wito
EMPOWERED BY HIS GRACE AND HIS LOVE
Tukiwezeshwa na neema yake na upendo wake
V3
ONE, KEEP US ONE
Moja, utuweke moja
GOD OF OUR OWN DECLARATION
Mungu tunayemtangaza
KEEP US ONE
Utuweke wamoja
WE ARE STILL A MIGHTY NATION
Sisi bado ni taifa lenye nguvu
STILL PROCLAIMING YOUR SALVATION
Tukiendelea kutangaza wokovu wako
YOUR LOVE IS OUR FOUNDATION
Upendo wako ndio msingi wetu
KEEP US ONE
Utuweke wamoja
V4
ONE, YOU ARE ONE
Moja, Wewe ni mmoja
HOLY FATHER GOD IN HEAVEN
Baba mtakatifu Mungu wa mbinguni
YOU ARE ONE
Wewe ni mmoja
WITH EACH ONE WHO CAME BEFORE US
Pamoja na wote waliotutangulia
WE WILL JOIN THE MIGHTY CHORUS
Tutajiunga na kwaya kuu
FATHER GOD IN THE HIGHEST HEAVEN
Baba Mungu uliye juu mbinguni
YOU ARE ONE
Wewe ni mmoja
CHORUS
WE ARE ONE (WE ARE ONE)
Sisi ni wamoja (sisi ni wamoja)
ALL SISTERS AND BROTHERS
Dada na kaka wote
WE ARE ONE (WE ARE ONE)
Sisi ni wamoja (sisi ni wamoja)
LIFTING UP ONE ANOTHER
Tukinuana sisi kwa sisi
WHEN OUR BACK’S AGAINST THE WALL
Wakati tumebanwa sana
WE ALWAYS ANSWER THE CALL
Daima tunaitikia wito
EMPOWERED BY HIS GRACE AND HIS LOVE
Tukiwezeshwa na neema yake na upendo wake
V5
ONE
Moja
WE ARE ONE
Sisi ni wamoja
WHEN GOOD PEOPLE COME TOGETHER
Watu wema wanapokutana
WE ARE ONE
Sisi ni wamoja
IN OUR ONENESS THERE IS PURPOSE
Katika umoja wetu kuna kusudi
THERE IS HONOR, THERE IS COURAGE
Kuna heshima, kuna ujasiri
WHEN WE PUT OUR HEARTS TOGETHER
Tunapoweka mioyo yetu pamoja
WE ARE ONE
Sisi ni wamoja
SWAHILI CHANT
Ah oo
Uye aaaaaaa
Uye aaaaaaa
Ay et, ay et, ay et
Uye aaaaaaa
Uye aaaaaaa
Ay et, ay et, ay et
Moja, moja, moja, moja
Kaka na dada
Tuinuane, Tuungane, tupendane
Moja
Tuinuane, Tuungane, tupendane
Moja
Uye aaaaaaa
Uye aaaaaaa
Ay et, ay et, ay et
Uye aaaaaaa
Uye aaaaaaa

ARTISTS
Legacy Mission Village Singers
Sebastian Silas & God Is Love

© 2024
Charles E Boone (ASCAP)
Spoone Music Corporation (ASCAP)
Frank Joseph Myers (BMI)
Foxland Harbor Songs (BMI)
James Genetti
Jimmy Nichols Music (BMI)
℗© 2025 Lamb & Lion Records, 9220 Sunset Blvd., Suite 310,
Los Angeles, CA 90069. International Copyright Secured.
All Rights Reserved.
Produced by Harry Gb.
Executive Producers
Pat Boone
Dana McElwain
Orchestra Conducted, Arranged, and Orchestrated by
Steve Dorff.